Saturday, August 6, 2016

TOTO AFYA KADI NA KIKOA YATAMBA BANDA LA NHIF VIWANJA VYA NANENANE LINDI

LIL1
Waziri wa Tamisemi,George Simbachawene akipata Maelezo mafupi ya Mpango wa Toto Afya Kadi pamoja na KIKOA,Toka kwa Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya Mkoa wa Lindi,Fortunata Kullaya,Baada ya Waziri Huyo Kutembelea Mabanda Mbalimbali ya Maonesho ya Nane nane Kanda Ya Kusini,Viwanja vya Ngongo Lindi(Picha na Abdulaziz Lindi)
LIL2
Waziri Simbachawene akipokea Vipeperushi vya Mfuko wa Bima ya Afya Toka kwa Sabina Komba kwa Niaba ya Mkurugenzi mkuu wa NHIF Mara baada ya kumaliza kukagua Banda la Mfuko huo linalotoa Huduma mbalimbali za Ushauri,Upimaji pamoja na Uandikishaji wa wanachama ikiwemo wa CHF
LIL3
Afisa Vijana Mkoa wa Lindi ,Saida Mponjoli alikuwa Mmoja wa Wadau waliotembelea Banda la NHIF Viwanja vya Ngongo
LIL4
Saidi Ally Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Tulieni Manispaa ya Lindi nae alitembelea Banda Hili kupata Elimu ya Mpango Mpya wa TOTO AFYA KADI
LIL7
Waziri Simbachawene akipima Urefu na Uzito katika Banda la NHIF

No comments:

Post a Comment