Mkuu wa
Wilaya ya Chato Shaban Ntlambe(katikati) akipokea vifaa vya masomo ya
Sayansi (Fizikia,Baiolojia na Kemia)vya Shule ya Sekondari Chato vyenye
thamani ya Sh 30 Milioni, kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa
wa Mtandao wa Tigo Edgar Mapande(kushoto),kwenye halfa iliyofanyika
shuleni hapo mwishoni mwa wiki.Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo Bernado
Selema
Wanafunzi
wa Shule ya Sekondari Chato wakiwa katika picha pamoja na vifaa vya
masomo ya sayansi vilivyotolewa na kamouni ya simu ya tigo
Mkuu wa
Wilaya ya Chato Shaban Ntlambe(katikati) akipokea vifaa vya masomo ya
Sayansi (Fizikia,Baiolojia na Kemia)vya Shule ya Sekondari Chato vyenye
thamani ya Sh 30 Milioni, kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa
wa Mtandao wa Tigo Edgar Mapande(kushoto),kwenye halfa iliyofanyika
shuleni hapo mwishoni mwa wiki.Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo Bernado
Selema
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chato wakifuatilia matukio wakati wa kupokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia,Baiolojia na Kemia) vyenye thamani ya Sh 30 Milioni kutoka kampuni ya Tigo.
No comments:
Post a Comment