Naibu
Spika wa Bunge, Tulia Mwansasu (kushoto) akizungumza na wajumbe
wa Kamati ya Bunge ya Sheria Ndogo alipohudhuria kikao cha kamati hiyo
kilichoketi katika Kumbi za Benki Kuu (BoT Dar es Salaam jana.Kulia
ni Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, William Ngeleja.
Makamu
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Sheria Ndogo, William Ngeleja (kulia),
akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo wakati akimkaribisha Naibu Spika
wa Bunge, Tulia Mwansasu (kushoto), katika kikao cha kamati hiyo
kilichoketi Dar es Salaam jana. Naibu Spika jana alihudhuria baadhi ya
vikao vya Kamati za Bunge.
Kaimu
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba, Joseph Mhagama
(kulia), akizungumza na wajumbe wa kamti hiyo (hawapo pichani), wakati
akimkaribisha Naibu Spika wa Bunge kwenye kikao hicho.
Mjumbe
wa kamati hiyo, Omary Badwel akichangia jambo kwenye kikao hicho mbele
ya Naibu Spika. Kushoto ni Mjumbe Anna Joram Kidarya.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria Ndogo wakiwa kwenye kikao hicho.
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
No comments:
Post a Comment