HII NDIO ZAWADI YA KRISMASI ALIYOJIPA MAYWEATHER
MAREKANI
Katika kusherehekea
sikukuu ya krismass kila mtu alijipanga kwa vile alivyoona anataka iwe,
lakini Kwa upande wa Bondia wa kimarekani MayWeather alijikuta katika
headlines baada ya kuamua kujinunulia mkufu na pete ya almasi amabvyo
vinaaminika kuwa na thamani ya kati ya $ 10 na $ 15 milioni, kulingana
na muonekano wake yake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Floyd Mayweather aliposti picha akiwa amevaa almasi hizo nakuandika maneno haya
“shhhhh, keep quiet and be polite while the diamonds are talking.”
Kwa tafsiri isiyo rasmi alimaanisha kuwa mpole wakati almasi zinaongea
Kati ya mapambano aliyocheza na Manny
Pacquiao na Andre Berto , kwa mwaka huu wa 2015 yalikuwa ya faida sana
kwa Floyd Mayweather ambayo yanaripotiwa kuwa yalimuuingizia takribani $
300,000,000 lakini staa huyo wa ngumi za kulipwa bado anaripotiwa kuwa
una utajiri mkubwa fedha
No comments:
Post a Comment