Hizi ni baadhi ya bidhaa ambazo zilikuwapo katika maonyesho ya siku hii ya utalii
hiki ni chakula cha kiasli kinachopatikana zaidi Iringa kinaitwa Mkunungu
Hawa ni baadhi ya viongozi wa chuo kikuu cha iringa
Kutokana na mfumo wa
namna ambavyo utalii huu unaweza kunufaisha kila Nyanja kuanzia kwa mtunzi wa
utalii,mpishi wa hotel,Msafirishaji wa abiria yaani watalii hao na mutoa
ufafanuzi wa elimu hiyo utalii ungewaza kuwa chanzo cha kukomesha ufukala kwa wananchi
wenye vivutio vya asili kama Iringa.
Haya yamebainishwa na
Profesa wa chuo kikuu cha Iringa kaitika kusherehekea siku ya utalii chuo kikuu
cha Iringa huku akiviasa vyombo vya habari na wanahabari kutangaza zaidi
vivutio vya utalii vya mkoa wa Iringa ikiwa pamoja na kuhamasisha zaidi jinsi
gani jamii inayozungukwa na vivutio hivyo inavyoweza kunufaika na uwepo wa
vivutio hivyo.
Na kwaupande wa
msimamizi wa mradi wa Fahari Yetu Inayohusika na utalii wa asili amesema
kutokana na namna ambavyowanairinga walivyotambua umuhimu wa utalii wa asili
shirika hilo kushirikiana na halmashauri ya Iringa wameandaa mashindano ya
asili ikiwapo kupika vyakula vya asili na kucheza ngoa za asili na mambo
mengine mengi ambayo yanatambulisha asili ya mtu wa Iringa.
No comments:
Post a Comment