Tuesday, November 28, 2023

HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA YASHIKA NAFASI YA PILI KITAIFA MBIO ZA MWENGE 2023

Halmashauri ya Jiji la Dodoma inayoongozwa na Mkurugenzi John Lipesi Kayombo katika matokeo ya Mbio za Mwenge wa uhuru 2023 imekuwa mshindi wa pili kitaifa, mshindi wa kwanza kikanda (Mikoa 8) na mshindi wa kwanza kimkoa.

No comments:

Post a Comment