Monday, March 27, 2023

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI YA NMB NA TFS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizindua rasmi kampeni ya kupanda miti kitaifa kwa hisani ya Benki ya NMB ikishirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) uzinduzi uliofanyika katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma leo tarehe 27 Machi 2023. (Wengine ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi – TAMISEMI Angellah Kairuki , Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera ,Bunge na Uratibu George Simbachawene , Mkuu wa Mkoa Dodoma Rosemary Senyamule, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna, Mwenyekiti wa Bodi ya wa Benki NMB Edwin Mhede pamoja na viongozi wengine wa Chama na Serikali)

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipanda mti aina ya Komamanga mara baada ya kuzindua  rasmi kampeni ya kupanda miti kitaifa kwa hisani ya Benki ya NMB ikishirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) uzinduzi uliofanyika katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma

  

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi na wananchi mbalimbali wakati wa uzinduzi rasmi kampeni ya kupanda miti kitaifa kwa hisani ya Benki ya NMB ikishirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), uzinduzi uliofanyika katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna wakati alipowasili katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma kuzindua kampeni ya kupanda miti kitaifa kwa hisani ya Benki ya NMB ikishirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) leo tarehe 27 Machi 2023. ( Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya wa Benki NMB Edwin Mhede na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo

No comments:

Post a Comment