Wednesday, March 8, 2023

KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS NA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na watumishi wa Ofisi ya Makamu walipojumuika kutakiana heri katika kuadhimisha Sikukuu ya Wanawake Duniani leo Machi 08, 2023.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akifurahia jambo na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt,. Switbert Mkama pamoja na watumishi wa Ofisi walipojumuika kwa ajili ya picha ya pamoja katika kuadhimisha Sikuku ya Wanawake Duniani leo Machi 08, 2023.

No comments:

Post a Comment