RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alizungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa Wilaya ya Kusini Unguja wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo Bw. Suleiman Mtumwa Vuai, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Wilaya ya Kusini Unguja Bw.Suleiman Mtumwa Vuai, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwake) Bw.Mwita Masemo Makungu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa Wilaya ya Kusini Unguja, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum ya Kofia ya kiua na Mwenyekiti wa Baraza hilo Bw. Suleiman Mtumwa Vuai , baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment