WAZIRI WA MADINI DKT. BITEKO AHESABIWA KATIKA ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akijibu maswali aliyoulizwa na Karani wa Sensa ya Watu na Makazi Magera Kilosa wakati akihesabiwa nyumbani kwake Kata ya Bulangwa Wilaya ya Bukombe, Mkoani Geita leo tarehe 23 Agosti 2022.
No comments:
Post a Comment