Tuesday, August 23, 2022

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHESABIWA KWENYE ZOEZI LA SENSA NA MAKAZI, IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

 




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Karani wa Sensa Phausta Ntigiti wakati alipokuwa akihesabiwa katika Makazi yake Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2022 kwenye shughuli ya Sensa ya Watu na Makazi. 

No comments:

Post a Comment