Sunday, May 22, 2022

Serikali itaendelea kutatua changamoto katika sekta ya madini Ndg.Adolph Ndunguru Katibu mkuu wizara ya madini

 


Katibu mkuu wizara ya madini Ndg.Adolph Ngunguru amesema serikali itaendelea kutatua changamoto katika sekta ya madini ikiwemo na kuhakikisha watanzania wanashirikishwa katika utoaji wa huduma na kupewa kiapumbele kwenye ajira katika migodi mikunbwa na ya kati.

kauli hiyo ameitoa jijini Mwanza wakati akifunga jukwaa la kwanza la utekelezaji wa ushirikishwaji wa watanzania katika sekta ya madini.

' lengo la serikali ni kuhakikisha kipaumbele kinatolewa kwa watanzania katika utoaji huduma na bidhaa katika sekta ya madini nchini ili kuongeza pato la mtu mmoja mmoja na nchi kwa ujumla'.

No comments:

Post a Comment