Friday, March 4, 2022

RAIS DK.MWINYI AMEJUMUIKA NA WAISLAMU KATIKA SALA YA IJUMAA MALINDI JIJINI ZANZIBAR

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj  Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiitikia dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi (katikati) katika makaburi ya wanazuoni mbali mbali waliozikwa katika Msikiti wa Ijumaa Malindi Jijini Zanzibar leo alipozuru makaburi hayo kabla ya kujumuika na Waislamu katika Sala ya Ijumaa (kulia) Sheikh Salum Hemed .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj  Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipozungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu   mara baada ya Sala ya  Ijumaa  katika Msikiti wa Ijumaa Malindi Jijini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment