Wafanyakazi 50 wa vituo kumi na saba(17)vya taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania TARi katika idara za ugavi na uhasibu wanaendelea na mafunzo ya siku tano jijini Dodoma ya kuwajengea uwezo wa ufahamu wa mfumo wa ulipaji serikalini(MUSE) mafunzo yanayoendeshwa na maofisa kutoka wizara ya fedha na mipango
Akieleza juu ya mfumo huo ofisa kutoka wizara ya fedha bwana David Mamboleo ameeleza kuwa moja ya faida ya kutumia mfumo huo wa (MUSE) ni kurahisisha ufungaji hesabu za serikali kwenye taasisi.
No comments:
Post a Comment