Na Hamis Hussein - Singida
Jeshi la polisi mkoa wa singida Limethibitisha kupatika kwa masalia yanayosadikika kuwa ni ya binadamu katika kijiji cha mwankoko mkoani singida
Mabaki hayo ni pamoja na Fuvu, mifupa, nguo pamoja na nywele
Jionee mwenyewe hapa.!
No comments:
Post a Comment