Monday, October 4, 2021

RAIS MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WADHAMINI WA TAMASHA LA SEA FOOD FESTIVAL LINALOFANYIKA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wadhamini wa Tamasha la Sea Food Festival linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii katika Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud  na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Afisa Mkuu wa Ukaguzi wa Ndani wa Benki ya NMB.Bw.Benedicto Baragomwa, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wadhamini wa Tamasha la Sea Food Festival linalotarajiwa kufanyika katika Mkoa wa Kaskazini Unguja mwishoni mwa wiki hii, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja.Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud,  baada ya kupokea taarifa ya kukamilika kwa maandalizi ya Tamasha la Sea Food Festival linalotarajiwa kufanyika katika Mkoa wa Kaskazini Unguja mwishoni mwa wiki hii.(Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment