Friday, September 24, 2021

MAJALIWA AKAGUA MABORESHO YA KITUO CHA AFYA CHA NDUNGU SAME MASHARIKI NA KUWASALIMIA WANANCHI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwasalimia wananchi wa Kata ya Ndungu katika Jimbo la Same Mashariki baada ya kukagua maboresho ya Kituo chao cha Afya  akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Kilimanjaro, Septemba 24, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Zaina Bakari wakati alipotembelea wodi ya wazazi kwenye Kituo cha Afya cha Ndugu katika Jimbo la Same Mashariki, Septemba 24, 2021. Bibi Zaina amejifungua mtoto wa kiume katika  kituo hicho. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya cha Ndungu katika Jimbo la Same Mashariki,  Tatizo Mwakatuya  (wa tatu kulia) wakati alipotembelea chumba cha upasuaji cha kituo hicho, Septemba 24, 2024. Wa pili kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment