Wednesday, June 2, 2021

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI-IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiandika jambo mara baada ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 2 Juni 2021. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali aliowaapisha pamoja na waliohudhuria hafla hiyo ya Uapisho iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 2 Juni, 2021. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya Kumbukumbu na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu, Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson pamoja na Makatibu Tawala wa Mikoa (walioapishwa) mara baada ya hafla ya kuwaapisha iliyofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 2 Juni, 2021. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment