Saturday, June 26, 2021

RAIS MHE. SAMIA SULUHU AFUNGA MKUTANO WA 12 WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA LILOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) lililofanyika katika ukumbi wa Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 26 Juni, 2021.

  

Mawaziri pamoja na viongozi mbalimbali wa Taasisi pamoja na Wafanyabiashara wakiwa katika mkutano wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) lililofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 26 Juni, 2021. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment