Monday, March 22, 2021

WABUNGE WAMUAGA HAYATI DK.MAGUFULI KWA VILIO NA HUZUNI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Hayati Dkt John Pombe Magufuli kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo.

Wabunge mbalimbali wakitoa heshima za mwisho kwenye sanduku lenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Hayati Dkt John Pombe Magufuli,ambapo baada ya hapo atapelekwa uwanja wa Jamhuri kwa kutolewa heshima za mwisho Kitaifa.

No comments:

Post a Comment