Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kata ya Nata Tabora vijijini wakati akitokea mkoani Shinyanga leo tarehe 29 Januari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nzega (hawaonekani pichani) wakati akielekea Tabora mjini leo tarehe 29 Januari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Isaka (hawaonekani pichani) wakati akielekea mkoani Tabora.
Sehemu ya Wananchi wa Kata ya Nata
Tabora vijijini wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza nao wakati akielekea
Tabora.
No comments:
Post a Comment