Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dk Ibenzi Ernest akimuongoza Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Profesa Mabula Mchembe (aliyevaa kaunda suti) na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tamisemi, Dk. Doroth Gwajima (wa tatu kulia) kwenda kuzindua ukarabati wa chumba cha dharula na uangalizi wa wagonjwa mahututi (ICU), wakati wa maadfhimisho ya miaka 100 tangu Hospitali hiyo hiyo ianzishwe 1920. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Profesa Mabula Mchembe (wa pili kushoto ) akikata utepe kuzindua rasmi ukarabati wa chumba cha dharula na uangalizi wa
wagonjwa mahututi (ICU), katika Hospitali hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Profesa Mabula Mchembe akikagua chumba cha uangalizi wa wagonjwa mahututi (ICU).
Wanafunzi wa Chuo cha Afya Mirembe, mkoani Dodoma wakitumbuiza kwa wimbo maalumu wakati wa maadhimisho hayo.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Best Magoma akitoa nasaha zake wakati wa maadhimisho hayo.
Aliyekuwa Muuguzi Mkuu wa Mkoa Anatolia Mkindo akikabidhiwa cheti cha kutambua mchango wake katika hospitali hiyo kabla ya kustaafu. Baadhi ya watumishi wa hospitali waliostaafu walitunukiwa vyeti.
Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali hiyo, Dk. Ezekiel Mpuya akimkabidhi tuzo maalumu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Profesa Mabula Mchembe.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Profesa Mabula Mchembe (kulia) akimkabidhi tuzo maalumu Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dk Ibenzi Ernest kwa uongozi wake thabiti.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Best Magoma akitoa nasaha zake wakati wa maadhimisho hayo.
No comments:
Post a Comment