Mgombea Urais kupitia Chama
cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Manyoni katika Kampeni za Urais
wakati akiwa njiani kuelekea Singida mjini leo tarehe 1 Septemba, 2020.


No comments:
Post a Comment