![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPv6udEDEkIQ9hKJ-cElFgN5k_uTYrzUHEQukeMjOjYfB2pIT07uVSB04AOgv7HXcgha0aqN6Wt6LMtZ28EZPdI0TNKJf_pGfH7SN46NVHqFN5-6pQWiKSyrBAHiN8QCVhPjtADPnS_GuU/w800-h534/2+%252885%2529.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akinunua Mhindi wa Kuchoma kutoka kwa mfanyabiashara mdogo katika eneo la
Dumila Darajani wakati akielekea mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akila Mhindi wa Kuchoma katika eneo la Dumila Darajani wakati
aliposimama kuzungumza na wafanyabiashara hao wadogowadogo akiwa njiani
kuelekea Dodoma.
Wafanyabiashara wa Dumila Darajani wakishangilia mara baada ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kusimama
katika eneo hilo wakati akiwa njiani kuelekea Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wafanyabiashara wa Dumila Darajani mara baada ya kuzungumza nao ambapo amewaahidi kuwajengea vibanda vizuri vya kufanyia biashara zao katika eneo hilo. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment