Friday, July 31, 2020

RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE AONGOZA SWALA YA EID EL-ADHA KIMKOA LINDI


Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete aongoza mamia ya waumini wa dini ya kiislam katika swala ya eid El-Adha Kimkoa iliyoswaliwa leo katika uwanja wa Ilulu Lindi mjini. Dkt Kikwete ameongozana na mke wake Mama Salma Kikwete.

No comments:

Post a Comment