Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka udongo
kwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa
katika Mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Lupaso Masasi Mkoani Mtwara.
Wanajeshi wa JWTZ wakiwa wamebeba Jeneza lenye Mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu
ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa kuelekea eneo la Makaburi kwa ajili ya
Mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Lupaso Masasi Mkoani Mtwara
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja Wananchi wa Lupaso waliohudhuria
katika Mazishi hayo ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William
Mkapa Lupaso Masasi mkoani Mtwara.
Mabregedia
Jenerali wa JWTZ wakishuhudia Jeneza lenye Mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya
Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa likishushwa kaburini Lupaso Masasi mkoani
Mtwara.
Rais
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu
ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa akiweka udongo kwenye
kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa katika
Mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Lupaso Masasi Mkoani Mtwara.
PICHA
NA IKULU.
No comments:
Post a Comment