Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akifafanua jambo wakati wa kikao cha
pamoja na Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa
Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela , kujadili namna bora ya kuimarisha
ushirikiano kati ya ofisi hizo. Kikao hicho kilifanyika jana Juni 18, 2020
katika Ofisi za Msajili wa Hazina, Jijini Dar es Salaam
Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akimkabidhi Kamishna wa Maadili , Jaji
Mstaafu Harold Nsekela Taarifa ya Mwaka ya Msajili wa Hazina kwa Mwaka wa Fedha
2018/2019. Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika Ofisi ya Msajili wa Hazina
wakati wa kikao cha pamoja kilichojadili namna bora ya kuimarisha ushirikiano
kati ya ofisi hizo.
Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka (Katikati) na Kamishna wa Maadili, Jaji
Mstaafu Harold Nsekela (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
watendaji wa Ofisi hizo baada ya kikao cha pamoja kilichojadili namna bora ya
kuimarisha ushirikiano kati ya ofisi hizo. Kikao kilichofanyika jana Juni 18, 2020
katika Ofisi za Msajili wa Hazina, Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment