Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akipokea Jezi ya Timu ya Pamba ya
jijini Mwanza kutoka kwa Mwenyekiti wa timu hiyo inayoshiriki ligi ya daraja la
kwanza kundi B Aleem Alibah (kushoto) walipomtembelea ofisini kwake leo jijini
Dodoma. Kushoto ni Mbunge wa Nyamagana jijini Mwanza Stanslaus Mabula.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akipokea Jezi ya Timu ya Pamba ya
jijini Mwanza kutoka kwa Mwenyekiti wa timu hiyo inayoshiriki ligi ya daraja la
kwanza kundi B Aleem Alibah (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake leo jijini
Dodoma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiongea na ugeni wa timu ya
Pamba ya jijini Mwanza walipomtembelea
ofisini kwake leo jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Nyamagana jijini
humo Stanslaus Mabula, Mwenyekiti wa timu hiyo Aleem Alibah (wa pili kushoto)
na Afisa Habari wa timu hiyo Abdalah Hassan Chauss (wa kwanza kushoto).
No comments:
Post a Comment