Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) Bw. Andrew Masawe akifungua Mkutano wa Makatibu wa Wakuu wa Kazi na Ajira wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC) ikiwa ni mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC, utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Mkurugenzi wa Ajira na Ukuzaji Ujuzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Bw. Ally Msaki akizungumza katika Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Kazi na Ajira wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya MaendeleoMya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC) ikiwa ni mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC, utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam,
Tanzania.
Wawakilishi kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC), wakifuatilia Mkutano wa Makatibu Wakuu kutoka SADC ikiwa ni Mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC, utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Mwakilishi kutoka Msumbiji, akiteta jambo na mjumbe wa Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Kazi na Ajira wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC) ikiwa ni mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC, utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Mwakilishi kutoka Eswatini akichangia hoja katika Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Kazi na Ajira wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ikiwa ni mlolongo wa hatua za Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi wa SADC, utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Tanzania
No comments:
Post a Comment