Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea shukurani za bila kushikana mikono na Mbunge wa Kilombero (kupitia tiketi ya CHADEMA) Mhe. Peter Ambrose Paciens Lijualikali baada ya kumkabidhi viti mwendo (Wheelchairs) 10 kwa ajili ya watoto wenye Ulemavu wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2020. Wanaoshuhudia ni Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson na Mke wa Balozi wa Tanzania nchini Israel Mama Joan Masima.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa ameketi na Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (watu wenye ulemavu) Mhe. Stella Alex Ikupa, Mke wa Balozi wa Tanzania nchini Israel Mama Joan Masima na mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sofia Mjema katika picha ya pamoja na wabunge na wawakilishi wa wabunge baada ya kuwakabidhi viti mwendo (Wheelchairs) 210 kwa ajili ya watoto wenye Ulemavu wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2020.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, baada ya kuwakabidhi wabunge viti mwendo (Wheelchairs) 210 kwa ajili ya watoto wenye Ulemavu wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2020.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Mama Ulega, mke wa Mbunge wa Mkuranga na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe, Abdallah Ulega baada ya kuwakabidhi wabunge viti mwendo (Wheelchairs) 210 kwa ajili ya watoto wenye Ulemavu wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2020. (kushoto ni Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (watu wenye ulemavu) Mhe. Stella Alex Ikupa
No comments:
Post a Comment