Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la mradi wa shamba la ufuta la Kampuni ya Haya Modern Agriculture Limited lililopo Mkoamzi wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. Kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba na wa tatu kushoto ni Mkurugenzi wa shamba hilo, Mohamad Zioud. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mtambo wa kaupanda mazao wakati alipotembelea shamba la ufuta la Kampuni ya Haya Modern Agriculture Limited lililopo eneo la mkoamazi wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela na wa tatu kushoto ni Mkurugeni wa shamba hilo, Mohamad Zioud. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama shamba lililoandaliwa kwa ajili ya kilimo cha ufuta wakati alipotembelea shamba la kampuni ya Haya Modern Agriculture Limited la Mkoamazi wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment