MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA UKUTA WA KUZUNGUKA MAKABURI YA WAHANGA MOTO, ENEO LA KOLAHILL MJINI MOROGORO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kazi ya ujenzi wa ukuta wa kuzunguka makaburi ya wahanga wa moto katika eneo la Kolahill mjini Morogoro, Machi 10, 2020. Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment