Tuesday, March 3, 2020

CUF MAALIM (ACT) NA CUF LIPUMBA WAPATA PIGO LINGINE - PEMBA


Ndugu Juma Hamad Omari Mbunge wa Jimbo la Ole, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Zanzibar kwa tiketi ya CUF ameomba kujiunga na CCM na kujivua vyeo vyake vyote ndani ya CUF.

Mbunge huyo ambaye alikuwa Kundi la Maalimu Seif akiambatana na Wanachama wa CUF na ACT 564 amepokelewa na  Ndugu Humphrey Polepole Katibu Mwenezi wa CCM Taifa katika Mkutano Mkuu wa CCM wa Wilaya ya Chakechake.

No comments:

Post a Comment