Monday, February 24, 2020

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWAKILISHI WA KANSELA WA UJERUMANI ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA AFRIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika  Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika  Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza  Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika  Bw. Guenter Nooke baada ya kukutana na  kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika katika picha ya pamoja na Bw. Guenter Nooke  alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24 2020. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Ibuge

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe na Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika, Magufuli akimpatia zawadi ya kinyago cha Umoja Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020

No comments:

Post a Comment