Tuesday, February 25, 2020

HOJA ZA KIKAGUZI SASA BASI TAA

Wahasibu na Wakaguzi wa Ndani wa Mamlaka ya Viwanja vyaNdege Tanzania (TAA), leo wakiwa kwenye mafunzo ya uandaaji nam uwakilishwaji wa vitabu vya Hesabu za fedha kwa kuzingatia viwango vya Kimataifa vya Uhasibu kwa Taasisi za serikali (IPSAS accrual), yanayofanyika
kwa siku tano kwenye ukumbi wa mikutano wa Jengo la Pili la Abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA_TB2).
Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Renatus Msangira akifungua mafunzo ya uandaaji na uwakilishwaji wa vitabu vya Hesabu za fedha kwa kuzingatia viwango vya Kimataifa vya Uhasibu kwa Taasisi za serikali (IPSAS accrual), yaliyoanza leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Jengo la Pili la Abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA_TB2), kwa kushirikisha Wahasibu na Wakaguzi wa Ndani.
Wahasibu na Wakaguzi wa Ndani wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), wakimsikiliza kwa makini aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Renatus Msangira akifungua mafunzo ya uandaaji na uwakilishwaji wa vitabu vya Hesabu za fedha kwa

No comments:

Post a Comment