Saturday, January 18, 2020

ZIARA YA WAZIRI MKUU ZANZIBAR JANUARY 18.2020



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na watumishi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, akiwa katika siku ya pili ya ziara yake Zanzibar. Januari 18, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Makamu Mkuu wa Chuo cha State University of Zanzibar, Dkt. Zakia Mohammed Abubakar, wakati alipotembelea Chuo cha Kilimo Kizimbani, kilichopo katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Januari 18, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipanda mti kwenye Chuo cha Kilimo Kizimbani, kilichopo katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Januari 18, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua mradi wa maji, katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Januari 18, 2020. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa tanki la maji Mwera, katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Januari 18, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa tanki la maji Mwera, katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Januari 18, 2020.
 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua mradi wa ujenzi wa Terminal III, katika uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar. Januari 18, 2020.

No comments:

Post a Comment