Friday, January 17, 2020

ZIARA YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU ZANZIBAR




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Watumishi, katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharib, Unguja, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu Zanzibar. Januari 17, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikata utepe, wakati akizindua huduma ya afya ya kijiji, katika Halmashauri ya Wilaya ya Kusini, Kizimkazi Dimbani, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu Zanzibar. Januari 17, 2020. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akibonyeza kitufe kuzindua huduma ya (ULTRA SOUND), baada ya kuzindua huduma ya afya ya kijiji, katika Halmashauri ya Wilaya ya Kusini, Kizimkazi Dimbani, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu Zanzibar. Januari 17, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia mashine ya kupimia uzito, kwenye kituo cha afya cha Kizimkazi Dimbani, baada ya kuzindua huduma ya afya ya kijiji, katika Halmashauri ya Wilaya ya Kusini, Januari 17, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akigawa chandarua kwa Mzazi, Zalha Khatib, kwenye kituo cha afya cha Kizimkazi Dimbani, baada ya kuzindua huduma ya afya ya kijiji, katika Halmashauri ya Wilaya ya Kusini, Januari 17, 2020.

No comments:

Post a Comment