Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
leo Januari 16, 2020 amerejea nchini kutoka Msumbiji, ambako
alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli, kwenye uapisho wa Rais wa
Msumbiji Filipe Nyusi. Kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili,
Benjamin Mkapa, ambaye pia alikuwepo katika msafara huo.
No comments:
Post a Comment