Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mteule Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika kusini. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika kusini. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mteule Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Namibia. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini hati ya kiapo ya Mhe. Balozi Dkt. Modestus Francis Kipilimba baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Namibia. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mteule Prof. Emmanuel David Mwaluko Mbennah kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Mhe. Balozi Prof. Emmanuel David Mwaluko Mbennah mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mteule Dkt. Benson Alfred Bana kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshuhudia Mhe. Balozi Dkt. Benson Alfred Bana akitia sahihi hati ya kiapo mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020
Mabalozi wapya wakila kiapo cha maadili kwa watumishi wa Umma mbele ya Kamshna wa Maadili Jaji Mstaafu Haroid Nsekela huku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akishuhudia mara baada ya kuwa apisha kuwaikilisha Tanzania katika nchi walizopangiwa . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mabalozi wapya wakila kiapo cha maadili kwa watumishi wa Umma mbele ya Kamshna wa Maadili Jaji Mstaafu Haroid Nsekela mara baada ya kuwa apisha kuwaikilisha Tanzania katika nchi walizopangiwa . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza baada ya kuwaapisha Mabalozi wapya wanne walioteuliwa kuwaikilisha Tanzania katika nchi mbalimbali walizopangiwa . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Mabalozi wapya wanne walioteuliwa kuwaikilisha Tanzania katika nchi mbalimbali walizopangiwa mara baada ya kuwaapisha Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wapya wanne walioteuliwa kuwaikilisha Tanzania katika nchi mbalimbali walizopangiwa mara baada ya kuwaapisha Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020
Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment