Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama
na Katibu Mkuu wa Wizara, Andrew Masawe wakitembelea miradi ya nyumba
za Shirika la Hifadhi za Taifa (NSSF) na kuagiza kukamilishwa kwa
miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza
kuzitumia kwa makazi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama
akitoka kwenye moja ya nyumba za miradi ya nyumba za Shirika la Hifadhi
za Taifa (NSSF) zilizoko Kijichi Wilayani Kigamboni ambapo ameagiza
kukamilishwa kwa miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha
watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi, Wengine ni Katibu Mkuu wa Wizara
hiyo, Andrew Masawe na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Wiliam Erio.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista
Mhagama, akiwa katika mradi wa Nyumba wa Dungu ulioko Wilaya Kigamboni
Jijini Dar es Salaam, alipotembelea kujionea utekelezaji wa maagizo
aliyoyatoa mwaka jana, Waziri ameagiza ameagiza kukamilishwa kwa
miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza
kuzitumia kwa makazi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista
Mhagama, akisikiliza Maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa NSSF kuhusu gharama
za ujenzi wa mradi wa Nyumba zilizoko kijichi Wilayani Kigamboni, Waziri
ameagiza ameagiza kukamilishwa kwa Miundombinu ya Nyumba
zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi.
Mradi wa Nyumba wa Shirika la
Hifadhi za Jamii (NSSF) zilizoko kijichi Wilayani Kigamboni kama
zinavoonekana kwenye picha, Nyumba hizo zimekamilika isipokuwa
miundombinu yake, Waziri ameagiza ameagiza kukamilishwa kwa Miundombinu
ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa
makazi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista
Mhagama, akisikiliza Maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa NSSF kuhusu gharama
za ujenzi wa mradi wa Nyumba zilizoko Ndungu Wilayani Kigamboni, Waziri
ameagiza ameagiza kukamilishwa kwa Miundombinu ya Nyumba zilizokamilika
ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi.
Picha na Idara ya Habari-MAELEZO
No comments:
Post a Comment