Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya
Jamii Patrick Golwike (kushoto) akizungumza katika siku ya pili ya kikao
kazi kilichowakutanisha Wakuu wa vyuo na Taasisi za Maendeleo ya Jamii
na Ustawi wa Jamii nchini kilichofanyika mkoani Morogoro.
Mkurugenzi wa TEHAMA kutoka Wizara
ya Mawasiliano Bw. Mulengwa Munaku akitoa mada kuhusu ubunifu na
Teknkolojia katika siku ya pili ya kikao kazi kilichowakutanisha Wakuu
wa vyuo na Taasisi za Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii nchini
kilichofanyika mkoani Morogoro.
Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya
Jamii Tengeru Dkt. Bakari George akitoa mada kuhusu ushiriki wa vyuo
vya Maendelo ya Jamii katika kutatua changamoto za jamii inayovizunguka
katika siku ya pili ya kikao kazi kilichowakutanisha Wakuu wa vyuo na
Taasisi za Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii nchini kilichofanyika
mkoani Morogoro.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya
Utawalana Rasilimali Watu kutoka Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bw.
Marko Masaya (wa pili kushoto) akizungumzia masuala ya kiutawala katika
siku ya pili ya kikao kazi kilichowakutanisha Wakuu wa vyuo na Taasisi
za Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii nchini kilichofanyika mkoani
Morogoro.
No comments:
Post a Comment