Friday, November 22, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI STENDI KUU YA MABASI YA MKOANI DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi  akivuta utepe kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi inayojengwa katika mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi  wa mkoa wa Dodoma akitoka kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo hicho Kikuu cha Mabasi mkoani Dodoma ambapo ujenzi wake upo mbioni kukamilika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Dodoma kabla ya kuwahutubia katika eneo la wa Stendi Kuu ya Mabasi mkoani Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,(TAMISEMI) Selemani Jafo,akizungumza kabla ya kumkaribisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ,awahutubia  wananchi wa Dodoma mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ,akiwahutubia  wananchi wa Dodoma mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi mkoani Dodoma
Sehemu ya wanachama wa CCM wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) wakati akiwahutubia wananchi wa Dodoma mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa msisitizo kwa wananchi wa Dodoma wakati akiwahutubia  mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi mkoani Dodoma
Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mhe.Patrobas Katambi pamoja na Meya wa Jiji la Dodoma, Prof David Mwamfupe na baadhi ya viongozi wa CCM Mkoa wa Dodoma wakifurahi jambo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia  wananchi wa Dodoma  mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi mkoani Dodoma.
Sehemu ya wakuu wa wilaya za Dodoma na wabunge wakifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwahutubia  wananchi wa Dodoma  mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi mkoani Dodoma.

Sehemu ya Stendi Kuu ya Dodoma kama inavyoonekana pichani.

Picha na Alex Sonna na Ikulu

No comments:

Post a Comment