Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance
Mabeyo wakisikiliza maelezo toka kwa Mhandisi Kanali Zabron Mahenge
akitoa maelezo kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la
Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi wakimsikiliza Mkuu wa Majeshi Jenerali
Venance Mabeyo akitoa ufafanuzi kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho
ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali
Venance Mabeyo na maafisa waandamizi wengine akifunua kitambaa kuashiria
uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa
eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Waziri wa Ulinzi na
Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Mwinyi akishuhudiwa na Mkuu wa
Majeshi Jenerali Venance Mabeyo, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali
Yakub Mohamed baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Uwanja wa
Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba
25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali
Venance Mabeyo na maafisa waandamizi wengine akikata utepe kuashiria
mwanzo wa ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino
jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali
Venance Mabeyo na maafisa waandamizi wengine akiongea machache baada ya
kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo
la Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Kijiji cha
Chimilolo alipotoka katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi
wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma leo
Jumatatu Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu
Mstaafu John Samwel Malecela mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi
wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa Kikombo Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono kwa furaha na Mtendaji
Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini
mwa Africa wakati wa mazungumzo yao Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo
Novemba 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya kinyago Mkuu wa Benki
ya Biashara na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika
alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Novemba
25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa
Benki ya Biashara na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika
na ujumbe wake alipokutana naye Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo
Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Benki ya Biashara
na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika baada ya kukutana
na kufanya naye mazungumzo Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 25,
2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na pamoja na Mkuu
wa Benki ya Biashara na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa
Afrika na ujumbe wake na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango,
Katibu Mkuu wa wizara hiyo Doto James na maafisa waandamizi wa wizara
alipokutana naye Ikulu Chamwino
jijini Dodoma leo Novemba 25, 2019
jijini Dodoma leo Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Benki ya Biashara
na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika baada ya kukutana
na kufanya naye mazungumzo Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 25,
2019. Kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment