Sunday, November 3, 2019

BALOZI JOHN KIJAZI AKITANGAZA VIONGOZI MBALIMBALI WALIOTEULIWA NA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI LEO


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitangaza uteuzi wa viongozi mbalimbali uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment