Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha maombolezo
nyumbani kwa Mwanasiasa Mkongwe na mmoja wa Waasisi wa Mfumo wa Vyama
vingi nchini Marehemu James Mapalala Osterbay jijini Dar es salaam
aliyefariki dunia Oktoba 23,2019 katika Hospital ya Kairuki jijini Dar
es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia Bi. Hannah Mapalala Mke wa
Marehemu James Mapalala alipokwenda na Mkewe Mama Janeth Magufuli kutoa
pole nyumbani kwa Mwanasiasa Mkongwe na mmoja wa Waasisi wa Mfumo wa
Vyama vingi nchini Osterbay jijini Dar es salaam aliyefariki dunia
Oktoba 23,2019 katika Hospital ya Kairuki jijini Dar es salaam alipokuwa
akipatiwa matibabu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli
wakisali Sala maalumu ya kumuombea pamoja na Familia ya Mwanasiasa
Mkongwe na mmoja wa Waasisi wa Mfumo wa Vyama vingi nchini Marehemu
James Mapalala walipokwenda kutoa pole nyumbani kwake Osterbay jijini
Dar es salaam. Marehemu James Mapalala alifariki dunia Oktoba 23,2019
katika Hospital ya Kairuki jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa
matibabu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia Benard James Mapalala
(Mtoto wa Marehemu James Mapalala) alipokwenda na Mkewe Mama Janeth
Magufuli kutoa pole nyumbani kwa Mwanasiasa Mkongwe na mmoja wa Waasisi
wa Mfumo wa Vyama vingi nchini Osterbay jijini Dar es salaam,
aliyefariki dunia Oktoba 23,2019 katika Hospital ya Kairuki jijini Dar
es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli
pamoja na waombolezaji wengine walipokwenda kutoa pole kwa familia ya
Marehemu James Mapalala ambaye ni Mwanasiasa Mkongwe na mmoja wa Waasisi
wa Mfumo wa Vyama vingi nchini, nyumbani kwake Osterbay jijini Dar es
salaam aliyefariki dunia Oktoba 23,2019 katika Hospital ya Kairuki
jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment