Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikabidhiwa zawadi ya kiti cha wazee na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wazee
Tanzania, Abdallah Majumba (kushoto) baada ya kuhutubia katika
Maadhiisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye Uwanja
wa Nangwada Sijaona mjini Mtwara, Oktoba 1, 2019. Katikati ni Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
amekalia kiti cha wazee alichozawadiwa na Mwenyekiti wa Mtandao wa
Wazee Tanzania, Abdallah Majumba (kushoto) baada ya kuhutubia katika
Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye uwanja
wa Nangwada Sijaona mjini Mtwara, Oktoba 1, 2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment