Rais Dkt. Magufuli Amjulia Hali Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa Apson Mwang’onda Anayepatiwa Matibabu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi Mkuu
Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa Apson Mwang’onda anayepatiwa
matibabu Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment