Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mbunge wa
Mtama Nape Nnauye aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya
kumuomba msamaha Rais Dkt. Magufuli kufuatia tukio lililotokea miezi
iliyopita.
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye
akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli mara baada ya mazungumzo yao pamoja na kusamehewa kosa
aliliofanya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo pamoja na
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa
ajili ya kuomba msamaha mara baada ya kuzungumza na wanahabari.
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye
akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mbunge wa Mtama
Nape Nnauye mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari
mara baada ya mazungumzo yake na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye Ikulu
jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment