Thursday, September 12, 2019

MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akijibu maswali, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (kushoto) Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, George Simbachawene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Juliana Shonza, katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma, Septemba 12.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment