MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA WAZIRI KAIRUKI KIWANDA CHA KUCHAKATA MAHINDI CHA JKT MLALE
Baadhi ya vijana wa JKT wakiimba
wimbo wa kumkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Uwekezaji
Mhe.Angellah Kairuki (hayupo pichani) alipotembelea kiwanda cha
kuchakata mahindi cha JKT Mlale mkoni Ruvuma.
No comments:
Post a Comment